MizaniYaWiki

MizaniYaWiki смотреть последние обновления за сегодня на .

MIZANI YA WIKI: Hatua za serikali kupunguza makali bei ya mchele

266
1
2
00:58:07
20.02.2023

Hisia mchanganyiko juu ya hatua zilizotangazwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kupunguza makali ya bei za bidhaa ya mchele sokoni. #AzamTVUpdates #MizaniYaWiki

Ufafanuzi wa zawadi ya mawe kwa viongozi wastaafu wa Tanzania

380
0
0
00:01:28
24.12.2022

Ufafanuzi wa maana na sababu za viongozi wa juu wastaafu wa Tanzania kuzawadiwa mawe wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujazwaji wa maji katika mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere. #AzamTVUpdates #MizaniYaWiki #ViongoziWastaafu #MradiWaUmeme

MIZANI YA WIKI | Tathmini ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Kenya

1239
9
0
00:59:37
10.05.2021

Kwenye #MizaniYaWiki tumekaa na Prof Kitila Mkumbo, Waziri wa Viwanda na Biashara akiwa na Balozi Abdulsamad Abdulrahim, Mwenyekiti wa Sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na Prof. Patrick Lumumba, Wakili wa Mahakama Kuu ya Kenya wakiwa hewani na Mtangazaji wa Azam Tv Bw. Faraja Sendegeya Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

MIZANI YA WIKI: Kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta kulikosababisha mfumko wa bei...nini kifanyike?

813
3
0
00:58:28
09.05.2022

Dunia inashuhudia kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta kwa kiwango kikubwa kuwahi kutokea na kusababisha mfumko wa bei kwenye bidhaa muhimu kwa maisha. Kilio ni kila kona huku baadhi ya watu wakikumbuka matumizi ya baiskeli kwa kisingizio cha kufanya mazoezi. Karibu tujadili pamoja katika #MizaniYaWiki. #MizaniYaWiki #KupandaKwaBeiYaMafuta #BeiYaMafuta #Mafuta #UhabaWaMafuta

MIZANI YA WIKI | Azimio la Bunge la EU kupinga mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda -Tanzania

3629
25
27
00:54:00
19.09.2022

Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limetoa azimio kupinga mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi na gesi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga nchini Tanzania. Ni kipi kilichopelekea bunge holo kuja na azimio hilo? Ungana nasi katika Mizani ya Wiki. #AzamTVUpdates #MizaniYaWiki #BungeLaEU #Hoima #Chongoleani

MIZANI YA WIKI: Namna Tanzania inavyoweza ‘kujing’oa’ katika athari za Corona kiuchumi

1234
19
2
00:56:40
13.04.2020

Tangu kulipuka kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini China kisha kusambaa kwenye sehemu kubwa ya dunia, uchumi umekuwa sehemu ya maeneo yaliyoathirika. Shughuli mbalimbali za kibiashara zimesimama kwenye baadhi ya maeneo huku msimamo huo ukiwaathiri watu mbalimbali ikiwemo wawekezaji. Tanzania inaweza kujikwamua vipi na athari hizi za kiuchumi zinazoletwa na Corona. #MizaniYaWiki #AthariZaCorona #CoronaNaUchumi #AzamTVUpdates #CoronaTanzania #CoronaVirus #CoronaZanzibar Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Назад
Далее
Что ищут прямо сейчас на
MizaniYaWiki sbi rd scheme working ravnica Shake4ndBake Wiking filmweb comedy programafomezero sanding knives Pedro Possidonio wiki academy professora ezik olmak bombs Shehnaaz Gill age wikipedia funny memes JONNESWAY 无情 upsc pre gs hacos