MIZANI YA WIKI

MIZANI YA WIKI смотреть последние обновления за сегодня на .

MIZANI YA WIKI || Uchambuzi wa ufisadi ulioibuliwa na CAG na mwarobaini wa kudhibiti usijirudie

324
3
0
01:05:38
10.04.2023

Baada ya kuibuliwa kwa ufisadi mkubwa kwenye mashirika ya umma na taasisi nyingi za umma katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), tunayachambua yale ambayo ni chanzo cha ubadhirifu huo, mwarobaini wa kuyadhibiti na majukumu ya bunge la Tanzania kwenye kuwawajibisha wahusika.

MIZANI YA WIKI | Ufafanuzi juu ya mapendekezo 18 yanayo husu vyama vya siasa nchini

439
4
3
00:56:51
24.10.2022

Miongoni mwa mapendekezo hayo, kuwa na mijadala ya kitaifa katika masuala ya msingi, na kuhuisha sheria ya mabadiliko ya katiba na sheria ya kura zamaoni.

MIZANI YA WIKI | Tathmini ya hali ya uchumi wa Tanzania kwa sasa

450
5
0
01:03:05
14.11.2022

Ungana na wa chambuzi wetu wa masuala ya kiuchumi upate kujua mengi zaidi kuhusu nafasi ya Tanzania kiuchumi.

MIZANI YA WIKI || Rais Samia Suluhu akipokea ripoti ya CAG na TAKUKURU

297
0
0
00:59:09
03.04.2023

Wakati Rais akipokea ripoti hizo mbili kwa maana ya CAG na Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022, alishutumu ubinafsi wa baadhi ya watendaji wake, kwa kukosa uzalendo wa kutetea maslahi mapana ya Taifa katika utekelezaji wa majukumu yao kwenye ngazi mbalimbali serikalini licha ya kutoa maelekezo kwa miaka miwili tangu ameingia madarakani.

MIZANI YA WIKI: Kifo cha Magufuli; Mwanzo wa Samia Suluhu: Tutafika tunakotamani?

6994
18
11
01:03:15
30.03.2021

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Tanzania imejikuta ikiingia kwenye historia mpya ya kuondokewa na kiongozi wa juu aliyepo madarakani pia makamu wake Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, Tanzania inaweza kuhimili hali hii na ikasonga mbele bila kutetereka kwenye nyanja yoyote ile? Faraja Sendegeya amewaalika, Profesa Ruth Meena kutoka Mfuko wa Wanawake Tanzania, Balozi Christopher Liundi, na Thabit Mlange ili kujadili kwa kina. Ungana nao ndani ya MIZANI YA WIKI. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

MIZANI YA WIKI MEI 28,2017

889
9
0
00:31:30
29.05.2017

Uchambuzi juu ya Ripoti ya Profesa Abdulkarim Mruma iliyoundwa kuchunguza mchanga wa madini(makinikia) uliokuwepo kwenye makontena nchini. Wageni ni Mbunge wa Kigoma mjini, ndugu Zitto Kabwe na mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Profesa Benson Bana.

MIZANI YA WIKI |Ni kwakiasigani bandari inaweza kua na tija kwa Tanzania?

294
3
0
00:58:19
11.07.2022

Mifumo mizur ya kuifanaya bandari kuweza kuchangia nusu ya bajeti ya serikali ni ufanisi ,vitendeakazi, tabia nzur za watu katika kujitoa, ujuzi, barabara, reli ,na TRA.

MIZANI YA WIKI: Humphrey Polepole

14907
64
5
00:29:49
19.12.2016

Mahojiano kati ya Raymond Nyamwihula na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Mizani ya Wiki kutoka Azam TV. Polepole anaongelea majukumu yake mapya na mwelekeo mpya wa CCM.

MIZANI YA WIKI | Safari ya Ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP)

486
1
1
00:57:56
26.12.2022

Katika hatua hii tumeshuhudia Ujazaji wa maji katika Bwawa hilo ukianza kwa kufunga handaki lililochepusha maji ili kuruhusu ujenzi wa tuta la bwawa hilo. Hatua hiyo itafuatiwa na kuwasha mitambo baada ya kujaa kwa bwawa, hatua inayotarajiwa kuchukua misimu miwili ya mvua ambapo lita bilioni 33 za maji zitaingia ndani ya Bwawa lenye ukubwa mara 10 ya bwawa la Mtera.

MIZANI YA WIKI 29/07/2018: Sakata la madereva kutembea na vyeti vya mafunzo, linapatiwa majibu hapa

3712
30
12
00:30:12
29.07.2018

Kutokana na agizo la serikali kupitia Kikosi cha Usalama barabarani, kwamba kila dereva hasa wale wa magari ya abiria wanapaswa kutembea na vyeti vya mafunzo kama njia moja wapo ya uhakiki wa leseni, Mizani ya wiki leo Julai 29, 2018 imewaalika Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim pamoja nakiongozi wa madereva. Tazama mjadala ulivyokuwa. Mizani ya Wiki ni kila Jumapili saa 2;30 usiku, Azam TWO.

MIZANI YA WIKI: Changamoto za elimu

264
7
1
00:16:11
06.10.2017

MIZANI YA WIKI: Changamoto za elimu SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

MIZANI YA WIKI: Data Binafsi za Huduma Namba | DIRA YA WIKI

91
1
0
00:15:06
31.01.2020

MIZANI YA WIKI: Data Binafsi za Huduma Namba | DIRA YA WIKI. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

MIZANI YA WIKI || Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi

129
1
0
00:56:32
08.05.2023

Bunge la Tanzania liliridhia kupitishwa kwa Bajeti ya Shilingi Bilioni 292.5 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/24. Hata hivyo michango ya wabunge iliitaka wizara hiyo kufanya maboresho kwenye baadhi ya hoja ikiwemo uvalishwaji wa hereni za kielektroniki kwa mifugo. Hilo sambamba na ukusanyaji wa mapato ni sehemu ya hoja za mjadala huu. Wageni ni Waziri, Abdallah Ulega na mbunge Tabasamu Mwagao sambamba na mchambuzi Lucas Malembo na mwendeshaji ni Moses Mohamed Kwindi.

MIZANI YA WIKI| AZAM TV| 11, DISEMBA, 2021.

685
1
0
00:59:47
14.12.2021

Miaka 60 ya Uhuru inapaswa kuendana na uimarishaji wa taasisi, na sio watu binafsi. Hii ni njia muhimu ya kuuenzi Uhuru na kazi. Nani kwanza? Je! ni taasisi au watu binafsi?

MIZANI YA WIKI: 23/2/2020: Hamahama ya wanasiasa kutoka chama kimoja hadi kingine; Siasa imeimarika?

912
8
0
00:54:59
23.02.2020

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

MIZANI YA WIKI || Je elimu ya Tanzania ina waandaa wahitimu kumudu soko la ajira?

217
3
9
00:55:49
22.05.2023

Hivi karibuni kumefanyika kongamano kubwa la elimu lililojadili rasimu mpya ya Sera ya elimu, baada ya mapitio ya Sera ya elimu ya mwaka 2014 na pia Rasimu ya mtaala wa elimu ya msingi sekondari na vyuo vya ualimu. Lengo likiwa ni kupata maoni ya mwisho kabla mei 31 na kuyachakata na kuja na nyaraka kamili zitakazo toa dira na mwelekeo wa elimu ya Tanzania. Wote tutakubaliana kwamba kilikuwa ni kilio cha muda mrefu kwamba elimu ya Tanzania haiwaandai wahitimu wenye uwezo wa kumudu soko la ajira na kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za kijamii. Je, kinachopendekezwa sasa kinajibu matarajio ya wengi?

Mizani ya wiki: Juhudi za amani wakati wa uchaguzi

120
0
0
00:15:00
21.07.2017

Mizani ya wiki: Juhudi za amani wakati wa uchaguzi SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

MIZANI YA WIKI: Wachumi wachambua uchungu na utamu wa bajeti ya serikali 2018/19

859
7
2
00:28:49
21.03.2018

Baada ya serikali kuwasilisha mapendekezo ya Bajeti pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 mbele ya kamati za Bunge, kipindi cha Mizani ya Wiki Jumapili hii (18/03/2018), kimekuletea uchambuzi wa kina kuhusu mpango huo kikiwa na wachambuzi watatu waliobobea kwenye masuala ya uchumi. Kipindi hiki ni kila Jumapili saa 2:30 usiku kupitia Azam TWO.

MIZANI YA WIKI: Kuwahusisha watoto wakiwa likizoni

347
0
0
00:16:42
03.11.2017

MIZANI YA WIKI: Kuwahusisha watoto wakiwa likizoni SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Mizani ya wiki: Kinachochangia katika kufaulu kwa mwanafunzi katika masomo

508
5
1
00:14:58
24.11.2017

Mizani ya wiki: Kinachochangia katika kufaulu kwa mwanafunzi katika masomo SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Mbatia, Edgar wauchambua uchaguzi mdogo Siha na Kinondoni (MIZANI YA WIKI 25/02/2018)

3465
25
6
00:24:55
27.02.2018

Kipindi cha mizani ya wiki, Jumapili hii (Feb 25, 2018) kiliwaalika James Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) pamoja na Edgar Mwandembele ambaye ni mchambuzi wa siasa kujadili suala lililotikisa katika anga ya siasa nchini Tanzania, kuhusu uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha (kilimanjaro) na Kinondoni (DSM). Kipindi hiki ni kila Jumapili, Saa 2:30 usiku kupitia channel ya Azam TWO ndani ya Azam TV

MIZANI YA WIKI - 20/ 01/ 2018: Ijue siri ya Kenya kuandamwa na matukio ya kigaidi

329
1
0
00:32:42
20.01.2019

Kenya ni moja ya nchi za Afrika zinazoandamwa na matukio ya kigaidi na katika miaka ya hivi karibuni matukio manne makubwa yamefanyika na kusababisha vifo vya watu kadhaa. Ni ipi hasa sababu ya nchi hii kukumbwa na matukio ya kigaidi? Ungana na wachambuzi hawa kuijua siri hiyo.

MIZANI YA WIKI | Sekta Ya Uvuvi Na Tozo Zisizo Rafiki Kwa Wavuvi

716
4
1
00:58:02
10.08.2021

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Mizani ya Wiki: Maambukizi ya virusi vya ukimwi-Dkt. Martin Serengo-Mkuu, NASCOP

20878
59
8
00:21:27
05.05.2017

Mizani ya Wiki: Maambukizi ya virusi vya ukimwi-Dkt. Martin Serengo-Mkuu, NASCOP SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

MIZANI YA WIKI - 08/09/2019

255
2
0
00:55:54
08.09.2019

MIZANI YA WIKI | Mwenendo wa kampeni za uchaguzi katika jicho la kihabari

1058
5
9
01:01:19
05.10.2020

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

MIZANI YA WIKI | Kero za Muungano zilizotafutiwa ufumbuzi na hatima ya zilizobaki

2150
5
3
00:52:56
31.08.2021

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Mizani ya Wiki || Mradi wa SGR na ndoto ya mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

1032
14
3
00:58:41
28.11.2022

Baada ya kusambaa kwa picha za mabehewa ya treni za kisasa zinazotarajiwa kuanza kazi nchini kupitia mradi wa SGR na baadae kukosolewa kwa shirika la reli nchini kabla ya mkurugenzi mkuu wa TRC kutoa ufafanuzi leo tunaangalia kwa kina manufaa ya mradi huo na kizungumkuti cha treni za kisasa.

Mtaala mpya wa elimu (Sehemu ya Pili) |Mizani ya Wiki

240
4
0
00:15:47
22.03.2019

Mtaala mpya wa elimu (Sehemu ya Pili) |Mizani ya Wiki SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

MIZANI YA WIKI - Sababu za watanzania kufikia 54.2 zawekwa hadharani. Hizi hapa

305
1
0
00:29:57
05.03.2018

Baada ya ripoti ya waziri wa fedha, Philip Mpango kuwa idadi ya watanzania imeongezeka na kufikia zaidi ya milioni 50, wataalamu wwanalitazamaje hilli, kiuchumi? kiafya? kimaendeleo? n.k Nurdin Selemani amewaalika wataalamu kutoka NBS na REPOA kutazama kiundani athari ya ongezeko hili la watu nchini.

Mizani ya wiki: Yanayowakumba wanafunzi katika vyuo vikuu

990
3
0
00:19:02
17.11.2017

Mizani ya wiki: Yanayowakumba wanafunzi katika vyuo vikuu SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
MIZANI YA WIKI DS3 shakira reacciona a nueva novia de pique wrong map of Jammu and Kashmir on wikipedia whole空翻 Kira Liv Wiki fix low cpu usage in game al fosool al arbaa uncaged price and volume analysis in English managing your wikipedia page wifi 6 vs wifi 5 Роман Костомаров в коме daoism Cinnamon DE NC型 ameliorer wikiwand color FDM